Pre GE2025 DSM No Reforms No Election yaingia Chamazi, maandalizi yote yamekamilika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
129,749
249,620
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kote Duniani hii hapa

Screenshot_2025-04-23-14-30-49-1.png

Pichani: Heche akiwasili Ubalozi wa Vatican Nchini Tanzani kutoa Rambi rambi kufuatia kifo cha Papa Francisisko

Screenshot_2025-04-23-15-08-57-1.png
========
Hali ndio kama mnavyoona, kama Chamazi wamekubali wewe unabisha ili iweje?

Screenshot_2025-04-23-22-18-28-1.png
Screenshot_2025-04-23-22-12-20-1.png
Screenshot_2025-04-23-22-11-59-1.png
Screenshot_2025-04-23-22-11-51-1.png
 
Ntajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.

Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during kampeni hatutamwona.
 
Nimekudharau baada ya kumtaja Magufuli
 
Nimekudharau baada ya kumtaja Magufuli

Hakuna mwanachadema anaeza toa hoja tatu back to back bila kutukana ...

Ukiongeza hoja tatu mpya naifuta hii ya juu bila kuongeza tusi naacha kutumia JF . LEO.

Haya nambie hizo dharau zako zinakuja vipi baada ya kuskia mtu kajifunza kwanini Magu alikataza mikutano ???

Au ndo kurukia hoja mze. Unadhani na support kufunga kwa mikutano ??

Heb jib bila kutukana mwana CDM ntaacha kutumia JF MIMI.
 
Ntajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.

Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during lili kampeni hatutamwona.
Akili ndogo ikichanganywa na mibangi hupelekea mtu kujiuliza maswali ya kama haya.
 
Hakuna mwanachadema anaeza toa hoja tatu back to back bila kutukana ...

Ukiongeza hoja tatu mpya naifuta hii ya juu bila kuongeza tusi naacha kutumia JF . LEO.

Haya nambie hizo dharau zako zinakuja vipi baada ya kuskia mtu kajifunza kwanini Magu alikataza mikutano ???

Au ndo kurukia hoja mze. Unadhani na support kufunga kwa mikutano ??

Heb jib bila kutukana mwana CDM ntaacha kutumia JF MIMI.
Joined April 2025
 
Ntajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.

Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during kampeni hatutamwona.
uchaguzi huo utapewa jina bayasana

Election without opposition
 
vurugu ...
Kashfa ...
Jazba .....

Leo Slaa mbaya ... Kesho mbowe mbaya.

Leo huyu dikteta.
Kesho huyu kanunuliwa na CCM.

Leo hatuhitaji Mariano kesho tutashiriko uchaguzi ikiwa tutaridhiana.

Leo mkurugenzi (ni KAMANDA) anaaapiga nyundo CCM kesho ... Tulikua tu alikuwa virus.

Mimi Sio mwana Siasa Ila ntajifunza mengi Sana kwa watu wa Chadema ... Naona Kuna kitu wanakosa ...

Nacho kinaitwa HEKIMA.
 
Back
Top Bottom