Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,444
- 1,598
Hapo jana tarehe 19/08/2024 kuna mwanafunzi amekuja akiwa na shida ya kufunguliwa account hapo kwenye Tawi lenu, mmemkatalia.
Eti kwa sababu hana kitambulisho cha NIDA, wakati ambapo anautambulisho kamili toka serikali ya mtaa.
Lakini alipoenda kwenye benki ya CRDB walikubali kumfungulia account, hii inaonyesha ni jinsi gani mlivyopelea, hivi mnadhani kijana wa miaka 17 angepata wapi kitambulisho cha NIDA?
Hebu changamsheni bongo zenu. Jamani