Poleni...hizo benki nilishazisahau sijui watu bado wanang'ang'ania nini....tena kama ndio CRDB tatizo la mtandao naona wameshalizoea maana siku ikiisha bila kuwa na tatizo la mtandao nadhani hawaoni raha
Mabenki hawana mitandao ISP zao. Nao wanategemea makampuni yanayotoa huduma za mitandao kama TTCL, Simba net, etc. Pamoja na kulaumu mabenki kwa kukosa huduma hii lakini pia inabidi kuangalia suala hili kwa upana wake