NMB chini ya Wazungu ilitoa gawio la TZS 16.5BL leo chini ya mzawa ni TZS 57.4BL. Kama kiasi cha hisa ni kilekile Cha 32% tunajifunza nini?

Financial Intelligence

JF-Expert Member
Sep 29, 2023
215
427
IMG-20240623-WA0121.jpg

NMB CHINI YA WAZUNGU

IMG-20240623-WA0123.jpg

NMB CHINI YA WAZAWA.

IMG-20240623-WA0127.jpg

NMB imekabidhi gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma yao ya kuhakikisha wanaleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye umiliki wa 31.8% katika Benki yetu.

Kwa mwaka huu, hili ni Gawio kubwa zaidi kutolewa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka taasisi za kibiashara ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea mfano wa hundi kutoka kwa Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi - Dkt. Edwin Mhede pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wetu – Bi. Ruth Zaipuna katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna alisema: “Kutokana na mazingira wezeshi na uimara wa sekta ya kibenki, NMB ni miongoni mwa mabenki yaliyokua sana. Gawio la jumla limeongezeka kutoka Tsh bilioni 97 mwaka 2021, hadi kufikia bilioni 181 mwaka 2023. Gawio kwa Serikali limeongezeka kutoka Tsh 30.8bn mwaka 2021 hadi kufikia Tsh 57.4bn mwaka 2023.”

Akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia ameipongeza Benki ya NMB kwa matokeo mazuri ya kiutendaji yaliyopelekea kuongezeka kwa faida kwa taasisi na gawio kwa Serikali.
 
View attachment 3023911
NMB CHINI YA WAZUNGU

View attachment 3023912

NMB CHINI YA WAZAWA.

View attachment 3023913

Mimi sijawahi hata mara moja kuamini hawa watu wa nje kutuongozea taasisi zetu, Mwambagozi anavutia kwake wakati wote
 
Uzalendo unalipa sana
 
Zaipuna Yuko sawa
 
Ruth Zaipuna ana akili nyingi mno anaendesha Benki ya NMB vizuri mno kichwa Cha uhakika

Wanawake wanaweza wakipewa nafasi

Mimi binafsi Huwa sipongezi mtu kienyeji mtu nikipongeza kuwa Yuko vizuri. I mean it a na Nina uhakika ninayepingeza Yuko vizuri sitoi sifa za kijinga jinga au kujikomba

Ruth Zaipuna hongera sana
 
View attachment 3023911
NMB CHINI YA WAZUNGU

View attachment 3023912

NMB CHINI YA WAZAWA.

View attachment 3023913
NMB imekabidhi gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma yao ya kuhakikisha wanaleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye umiliki wa 31.8% katika Benki yetu.

Kwa mwaka huu, hili ni Gawio kubwa zaidi kutolewa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka taasisi za kibiashara ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea mfano wa hundi kutoka kwa Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi - Dkt. Edwin Mhede pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wetu – Bi. Ruth Zaipuna katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna alisema: “Kutokana na mazingira wezeshi na uimara wa sekta ya kibenki, NMB ni miongoni mwa mabenki yaliyokua sana. Gawio la jumla limeongezeka kutoka Tsh bilioni 97 mwaka 2021, hadi kufikia bilioni 181 mwaka 2023. Gawio kwa Serikali limeongezeka kutoka Tsh 30.8bn mwaka 2021 hadi kufikia Tsh 57.4bn mwaka 2023.”

Akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia ameipongeza Benki ya NMB kwa matokeo mazuri ya kiutendaji yaliyopelekea kuongezeka kwa faida kwa taasisi na gawio kwa Serikali.
Inamaanisha mama Samia kawafunika waliopita.
 
Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri

Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO,

Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO.

Karibu sana

📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia

☎️0748 270 719
IMG-20240613-WA0003.jpg
IMG-20240613-WA0005.jpg
Howo-371-dump-truck-for-sale-1-100885.jpg
 
Margin ni kubwa sana karibu Bil 40 huoni kama Kuna kitu cha kujifunza hapa?
Tofauti ya miaka na mazingira ya kibiashara, idadi ya wateja inafanya hoja yako isiwe na msingi. Hoja yako ingekua na msingi ungeonyesha idadi ya wateja kua ile ile lakini faida imekua kubwa

Ni sawa na mtu kusema leo TRA wanakusanya pesa nyingi kuliko awamu ya 2 ama ya 3, unajiuliza idadi ya walipakodi awamu ya pili na ya 6 vinalingana, mazingira ya kibiashara, uwezo wa wanachi kulipa kodi nk viko sawa?

Huwezi kulinganisha vitu vinavyopishana miaka ama muda ukapata jibu sahihi unless factors nyingine zote ziwe constant.
 
Back
Top Bottom