NMB Bank: Kitengo cha Mawasiliano mnatuma meseji zisioeleweka hafu ata hamtubembelezi wateja

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
25,430
72,678
NMB kisa mna namba yangu nilijiunga na NMB Mobile ndio mmeamua kunitumia msg kibabe ata haieleweki.

Huduma gani itakayositishwa? Huduma ya Bank au Mobile? Na itasitishwa hadi lini (kwa muda gani)?

BTW situmiagi huduma zenu ni account ya kuingiza mshahara tu.

Screenshot_20240629-151018.png
 
Nchi ya hovyo, kisa mwaka wa serikali huduma za kifedha zinakuwa hazipo. Kama ni kuupdate policy siwafanye usiku wa manane.
 
Wanafanya birthday nimeishia kusikitika , wenye wagonjwa kazikwenu

Gvt ,itakuwa na birthday
 
Back
Top Bottom