hii JF ya safari hii nahisi ina mamluki wengi kutoka facebook,jamani huu mtandao ndio pekee unatupa heshima watanzania ndani na nje ya mipaka yetu,atleast tujitahidi ku`post vitu sensitive ambavyo vitatujenga,sio utumbo wa aina hii,natamani nikuone uliye`post unafananaje?daah aibu aibu!