NJOO TUJUZANE!

MeddyFoxx

Member
Jul 15, 2016
8
2
Ebhana Mambo Vip Wana JF? Shwariiiiii???? Naomba Kuuliza Speed Ya Internet Ya HALOTEL , AIRTEL , TIGO & VODA Ipi Iko Poa Zaidi Kwenye Kuperuzi??? Pia Ni Kweli 4G Ya Tigo Iko Poa Speed Yake Au Magumashi Tyuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…