The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,218
- 93,899
Ushindani ungekua mkubwa ungelikua ushauzaNjoo uchukue mapema mana ushindani ni mkubwa.
Siunajua biashara, ukisema 350k mtu anataka kutoa 320k.Ushindani ungekua mkubwa ungelikua ushauza
Nalo neno😅😅Ushindani ungekua mkubwa ungelikua ushauza
Namba Yako tafadhali niilipitie asubuhi hii
Kawaida tu, unachomeka kwenye PC.Hivi hizo matumizi ya umeme yakoje?