LGE2024 Njombe: Wananchi wawaasa wenzao kuhudhuria mikutano ya kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,278
3,573
Wakuu,

Twende kwenye kampeni ili mchague viongozi wanaostahili.

=====


Wakati vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini vikiendelea na kampeni zao, wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wamewataka wananchi wenzao kuhudhuria mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera za wagombea

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Given Sanga, Sofia Sanga na Elai Mbilinyi wametoa maoni yao kuhusu umuhimu wa watu kuhudhuria mikutano ya Kampeni.
 
Back
Top Bottom