Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,193
- 3,247
Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja kati ya wananchi waliotimiza haki yao kikatiba kwa kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kijijini cha Bulongwa-Kitongoji cha Amani
Zoezi hilo linatafanyika kwa siku moja na litafungwa rasmi Leo Saa 10:00 jioni
Zoezi hilo linatafanyika kwa siku moja na litafungwa rasmi Leo Saa 10:00 jioni