Njia rahisi ya kupata Makazi yako

cccltd

Member
Feb 18, 2017
64
18
Kampuni ya cccltd inawatangazia watanzania wote wenye kutaka kumiliki Makazi yao na kuachana na adha za upangaji , tumewaletea mpango rahisi sana , NUNUA KIWANJA KWETU CASH, Tutakukopesha tofali 1000 za kuanzia ujenzi, tutakupa ramani ya kisasa bure ,tutakusimamia ujenzi. ukilipa miezi 3 , tutakuongezea awamu nyingine ,ili uendelee na ujenzi, ndani ya mwaka unaweza kuhamia kwako, tutakuhakishia kuokoa gharama na uimara wa jengo,.

>Mpango huu unatokana na utafiti wetu wa hali ya ujenzi na kipato cha Watanzania walio wengi, yafuatayo tuliyapata katika utafiti; huo.

>* watu wengi uwachukua zaidi ya miaka 5 kuanza kuishi ktk nyumba zao baada ya kununua Viwanja.
>* watu wengi huingia gharama kubwa sana kwa kulipa Mara mbili ya bei ya KIWANJA ,kwani wakati wanasubiri kujenga huendelea kulipa pango ya nyumba na kodi ya ardhi.

>* Wengi hujenga chini ya kiwango kutokana na kipato cha kuungaunga,kukosa ushauri na usimamizi, na kupanda kwa gharama vifaa kadri wanavyosubiri majaliwa ya kujenga.

>* Wengi hukata tamaa ya kujenga kwani wakati wa kununua KIWANJA wanakua vijana wasio na majukumu lakini kadri wanavyo subiri / kuchelewa kujenga majukumu ya familia huwazidi nakujikuta wakishindwa kujenga na kuzeekea ktka nyumba za kupanga.

>* familia nyingi huathirika na malezi mabovu ktk maeneo yenye Makazi duni yasiyo na mpangilio na huishia kukata tamaa maisha yake yote.

>* Hadi sasa hakuna taasisi yenye Sera nzuri za MIKOPO ya nyumba au ardhi kwa madhumuni ya kutatua kero ya Makazi kwa watanzania, wako kibiashara zaidi

>HIVYO BASI WASILIANA NASI KUEPUKANA NA MATATIZO TULIYO AINISHA HAPO JUU.

>KWA MAHITAJI YA MIKOPO YA VIWANJA NA VIFAA VYA UJENZI ,TUONE HARAKA,

>* maeneo ya 1.kigamboni ( Mwasonga, Mbutu kichangani,Mkwajuni ,mwembemdogo nk) 2. Mvuti 3.Mbande( km 1toka azam complex)

>* ukubwa kuanzia mita 20*20( sqm400)

>* Bei kuanzia mil 4.8

>MKIJA KAMA KIKUNDI MTAPATA FAIDA NYINGI ZAIDI

>*** 0762781778/ 0674880470/ 0762576878.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…