BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,546
- 11,892
Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM watatishika sana.
Hio haipo na haijawahi tokea Duniani labda ianzie Tanzania kwa mara ya kwanza. ni sawa na kutishia tu nyau.
Watawala Duniani kote hutishwa na kitu kimoja au viwili Maandamano na Migomo basi.
Sasa Tanzania hii ya Simba na Yanga Migomo na Maandamano ni ndoto za mchana kweupe, sio utamaduni wetu, Sioni Tanzania hii vikitokea na tusidanganye humu sisi ma Keybord worriors, hatuwezi maandamano na maanadamano sio utamaduni wetu vitu kama hivyo vinawezekana juko jirani.
Raial Odinga sio mtu wa maneno makari makari sana ila vibe la worriors wake ndio balaa tupu.
Sasa kama tunazania maneno makari yanaweza tishia watawala ni tunajidanganyana mchana kweupe.
Maneno makari ya Lisu hayana impact kwa watawala wala CCM yake.
Keybord worriors tuache kudanganyana humu na kupeana matumaini.