Pasta Joshua
Member
- Aug 2, 2020
- 17
- 114
Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.
Muda utaongeaNjia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.