MAKA Jr
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 267
- 209
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona zote hizo ni kelele tu. Tukitaka kuwa huru na mambo yetu hatuna budi kuchukua hatua kwa vitendo na kuanza kumiliki vya kwetu.
Lakini, Je, tunaweza? Au tuna mipango dhabiti ya kutujengea uwezo wa kuthubutu na kufuata nyayo za China na Urusi?
KWA KIFUPI TU, Kama hatuna Umoja imara, Satellite zetu, Makampuni yetu, Mabenki yetu, Kompyuta zetu, Google zetu, Microsoft zetu, n.k (vitu ni vingi), hatuwezi kuwakwepa hawa watu. Zitapigwa kelele nyingi lakini siku, wiki, miezi, miaka itasogea na tutabaki pale pale. Na zahama zitazidi kulikumba Bara la Afrika.