Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,380
Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo"
"Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic.
Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge mbele.
Matokeo yake yatajionesha baada ya muda, "mbumbumbu" hao wakishahitimu.
Wagonjwa watafia mikononi mwa madaktari, majengo yataanguka mikononi mwa wahandisi, pesa zitapotelea mikononi mwa wachumi, utu utapotea mikononi mwa viongozi wa dini, na haki itapotea mikononi mwa mahakimu.
#Kuchezea Elimu Ni Kuangamiza Taifa. ......✍️