Njia Nyingine Mpya za Kutumia Programu ya WhatsApp

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Najua ni muda sasa toka tulipo post makala ya mwisho humu lakini hiyo ni kwa muda tu sababu ya kuandaa tovuti nyingine bora ya habari na makala kwaajili yenu.

Basi baada ya kusema hayo napenda kuwakaribisha kwenye makala hii fupi ambayo tutaenda kuangalia njia mpya za kutumia programu ya whatsapp kwa urahisi kabisa. Kumbuka ili kufuata njia hizi hakikisha unatumia programu ya whatsapp ambayo ni toleo jipya kama bado huja update hakikisha unafanya hivyo kwanza. Enjoy!


  • Kwa habari zaidi na maujanja mbalimbali hakikisha unatembele tovuti ya Tanzania Tech kila siku
  • Kumbuka popote unapokwama usisite kutuandikia hapo kwenye maoni nasi tutakujibu moja kwa moja, na pia kama umeipenda hii usisahau KUBOFYA LIKE.. Hope you enjoy this! Bye...
 
Joseverest ni ngumu kuandika maelezo mengi sana na kwa video ni rahisi sana kufuatilia kwani ni kwa vitendo, isitoshe ni video ya dakika 4 tu!
Acha ubahili kwani kusummarize huwezi mkuu...kwani hayo maelezo ni ya kitabu?? Dakika 4 MBs zangu huzitakii mema mkuu
 

Mbona nimejaribu na iPhone imekataa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…