Namna bora ya kufikisha Elimu ya Rushwa katika jamii
Maboresho ya namna ya kufanya elimu ya Rushwa inawafikia wananchi kwa urahisi,
Takukukuru inapashwa ifanye yafuatayo juu mwenendo wa usimamizi wa sera zake na kufanya wananchi wanapata taarifa kwa urahisi na kusaidia kutimiza adhima ya Takukuru kwa ujumla.
1. Mtaala wa rushwa ( ufisadi na uhujumu uchumi) ufundishwe mashuleni haswahaswa madhara yake kuanzia ngazi ya jamiii na Taifa kwa ujumla pia uwazi wa adhabu kali kwa watu watakao husika na Rushwa ufisadi au uhujumu uchumi, watoto kuanzia madarasa ya awali waelewe, na juu ya huo mtaara waandishi binafsi wawe huru na waruhusiwe kuandika taarifa Za kweli ambazo zimesha tokea zenye madhara ya Rushwa, watunge vitabu vyenye hadidhi ya kusisimua kuelezea madhara ya Rushwa katika jamiii na waruhusiwe na serikali kutoa mifano halisi iliyosababishwa na madhara ya Rushwa (ufisadi na Uhujumu uchumi) hata mifano ya mataifa yaliyo patwa na madhara ruksa kuyataja ndani ya vitabu
2. Kuwepo kwa muwakilishi wa Takukuru kuanzia ngazi ya balozi, mtaa , kijiji na Kata n.k ambae atahusika kupokea taarifa na kuzifatilia mojakwamoja zenye ushaidi kutoka kwa wanachi na kusiwasilisha ngazi husika. Pia muwakilishi wa Takukuru ngazi ya mtaa atakuwa na kazi ya kutoa Elimu ya Rushwa ndani ya mtaa anaishi kupitia mikusanyiko ya nzengo kama vile Misiba, harusi, mikutano ya wanachi ya maendeleo n.k . Hii itafanya elimu ya Rushwa inamfikia mwananchi kwa urahisi na kuelewa pia yeye yampasa anapoana viashilia vya rushwa au rushwa kabisa aanzie wapi
Wako katika kujenga taifa ambalo imara lisilo kuwa na Rushwa
ABEL KAPENE Geita Tanzania
Phone 0673552663

- Serikali itangaze hazarani adui namba moja wa Maendeleo ni Rushwa Ili wananchi wajue adui Yao ni nani anae wafanya wasipate haki zao na mafanikio yao. (Sio ofisi ya Takukuru itangaze hilo) serikali Haina Budi kutoa ruzuku katika vyombo vyote vya habari , kuwa na kipindi maarumu au kabla ya taarifa za habari zao. Vyombo vinapashwa vipokee au kuandaa madhui yanayo husu madhara ya rushwa ambayo serikali itaruhusu watu wayaandae na serikali iwalipe, yatarushwa hewani katika matukio maruumu ambayo yatakuwa 1, kwanjia kusikizwa 2.kutazamwa na watu mfano wa matukio pendwa ni . Michezo ya mpira michezo ya kubahatisha, taarifa Za habari , mahubili makubwa, matamasha ya Live n.k, maudhui hizo zionekane live au zisikilizwe, kwenye mitandao ya kijamii kuwe na maudhui pia radio na TV Za mitandaoni zirushe maudhui itakayo pendekezwa na Takukuru iwafikie wananchi ( vituo vya michezo ya kubahatisha mitandoni kuwe na matangazo mafupi yanayo husu Rushwa)
- Mwenendo wa kesi Za Rushwa ( ufisadi na Uhujumu uchumi zianzie ngazi Za Mabaraza ya kata na Hukumu zake zianzie pia mahakama Za Mwanzo na kutolewa hukumu, hii itafanya wananchi wafatilie kwa ukaribu na kupata elimu maana kuanzia hizo ngazi zinawagusa wananchi moja kwa moja na imani watakuwa nayo maana watashuhudia wahusika wanapewa adhabu mapema kuliko kuwapeleka mahakama , Kuu au za rufaa na Mafisadi pekee, itafanya wananchi waipate elimu ya rushwa kwa urahisi kwa kufatilia katika hizo zilizo karibu yao
- Kuwepo na uwazi wa hukumu na adhabu za watu wanaojihusisha Rushwa ( ufisadi na uhujumu uchumi watanganzwe pale watakapo tiwa hatiani na Mahakama ili wanachi weweze kupashana habari punde watakapo sikia juu ya hukumu zao wala rushwa ( vyombo vyote vitangaze kupitia vipindi maarumu vya rushwa).
- Utambuzi wa makundi maarumu kama vile wasanii na wanamichezo wawe mabarozi na waandaliwe makaara maarumu zenye maudhui ya Rushwa,elimu itafika kwa wakati na kila kundi litakuwa limeguswa na kuelimika juu ya Rushwa.
Wako katika kujenga taifa ambalo imara lisilo kuwa na Rushwa
ABEL KAPENE Geita Tanzania
Phone 0673552663