Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,548
• Kiwango ambacho anaweka sheria kwako
• Kiwango ambacho anatamani sana attention yako
• Kiwango ambacho anacho'jitoa katika uhusiano huo
Wanawake hawaweki sheria kwa wanaume ambao wanavutiwa nao; badala yake wanavunja sheria kwa ajili yao. Kama anaweka sheria kwako, jaribu kuzivunja.
Majibu yake yatakufahamisha ikiwa anakupenda au la.
Kwa mfano, umekutana nae hivi karibuni na alikuambia hapendi kuguswa. Sasa hiyo ni sheria unayohitaji kuvunja ili kuthibitisha msimamo wake katika uhusiano. Ikiwa yuko tayari kukubaliana na wewe, atabadilika. Vinginevyo, atabaki na msimamo wake kila wakati umgusapo.
Wanawake hawana sheria kali na isiyoweza kubadilika kwa wanaume wanaowapenda.
Pili, kiwango ambacho anatamani sana attention yako ni ishara nyingine ya upendo.
Je, huwa mkali wakati uko karibu nae au kwenye simu?
Je, anakusumbua kwa simu ili kukujulia hali?
Je, daima ana hasira unapokua haumjulii hali?
Hizo ndizo dalili za moja kwa moja kwamba yeye kweli anavutiwa nawe au la.
Mwanamke ambaye hahitaji umakini wako anapata umakini huo mahali pengine. Kuwa makini!
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, ni kiwango ambacho anafanya kujitoa katika uhusiano.
Hizi mbili za mwanzo zimeunganishwa kwa njia fulani na hii ya mwisho, kwa sababu kama anavunja sheria kwa ajili yako, tayari anafanya kujitoa katika uhusiano.
Vivyo hivyo, ikiwa anakuzingatia mara kwa mara, pia anafanya kujitoa katika uhusiano.
Namna nyingine za kufanya kujitoa zinaweza kujumuisha kupika kwa ajili yako, kununua vitu visivyotarajiwa kwako kwa pesa yake, kukufanyia usafi kwako etc.
Kumbuka mwanmke naturally ni mpokeaji sio mtoaji.
Jambo moja unalopaswa kuelewa ni kwamba wanawake hujaribu kuwafurahisha wanaume wanaowapenda kwa vile walivyo, bila kujali ni kidogo kiasi gani. Haijalishi anachokupa, muhimu ni nia yake ya kutoa.
Kama umesoma mpaka hapa na huoni alama za mpenzi wako au hauwezi kuona akifanya angalau moja ya mambo haya, basi hupendwi katika uhusiano wako na upo katika hali mbaya zaidi kuliko mwanaume ambaye hayuko katika uhusiano.
Abby Uladu
Psychologist and journalist
Mbezi beach finest