IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida.
Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili wamejenga, n.k.
Soko lao lipo kwenye Maduka, Stoo / Godowns, nyumba za wazito, n.k.
Nje ya hii kitu kuna sehemu gani nyingine imeweza kuwa mkombozi kwa IT wa bongo ?