Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,913
- 239,838
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma
Taarifa kamili hii hapa
Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.
Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.
Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.
Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu