Njaa ni kali wanangu ila tuwe makini na maamuzi nyeti wakati wa ukata maana huwa hayajirudi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
2,360
6,756
20241006_093906~2.jpg

Mkopo juu ya mikopo.

Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu.

Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu.

Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu.

Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali.

Kumpiga kibuti bwana anaekujali na kukuthamini kisa tu anapitia wakati mgumu kifedha.

Kulelewa na jimama ili tu ujikomboe na dhiki

Kutembea na sugar daddy mme wa mtu ili tu ukimbie maisha ya uswazi (hapa mnajua mfano)

Kugeuka upinde ili ununue crown na duka la simu makumbusho

MUNGU ATUONGOZE KIFIKRA
 
View attachment 3116584

Picha ulio weka na Mada nielezee uhusiano wake kwanza unifungue macho kdgo mkuu.
 
Kama unavyoona mbwa ameruka kutoka kwenye cliff ili tu amfikie na amle huyo ndege.

Sasa mbwa anaweza kumfikia ndege lakini kumbuka ameruka kutoka kwenye cliff ina maana ataanguka chini na kufa.

Njaa ya mbwa ndio iliomuua maana ameenda extra mile hadi kufikia chakula ili atulize njaa ila extra mile hio ndio ikawa mwisho wake.

Ni kama mwanadamu njaa inaweza mfaanya achukue maamuzi magumu sana mfano kwennda kuiba kuku bahati mbaya ukakamatawa ukafanywa kilema au hata kuuliwa.
 
View attachment 3116584
Mkopo juu ya mikopo.

Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu.

Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu.

Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu.

Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali.

Kumpiga kibuti bwana anaekujali na kukuthamini kisa tu anapitia wakati mgumu kifedha.

Kulelewa na jimama ili tu ujikomboe na dhiki

Kutembea na sugar daddy mme wa mtu ili tu ukimbie maisha ya uswazi (hapa mnajua mfano)

Kugeuka upinde ili ununue crown na duka la simu makumbusho

MUNGU ATUONGOZE KIFIKRA
Uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao, similarly to, any decision you make in life you are responsible for it
 
View attachment 3116584
Mkopo juu ya mikopo.

Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu.

Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu.

Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu.

Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali.

Kumpiga kibuti bwana anaekujali na kukuthamini kisa tu anapitia wakati mgumu kifedha.

Kulelewa na jimama ili tu ujikomboe na dhiki

Kutembea na sugar daddy mme wa mtu ili tu ukimbie maisha ya uswazi (hapa mnajua mfano)

Kugeuka upinde ili ununue crown na duka la simu makumbusho

MUNGU ATUONGOZE KIFIKRA
Bila kuweka suala la binadamu mwenye akili kujitoa ufahamu na kujigaragaza garagaza kwenye vumbi (u-minjaku), ili tu upate kula list haijakamilika.
 
Back
Top Bottom