Habari zenu mabibi na mabwana,
Nywele zangu ni natural, nyeusi na kipipili lakini siyo ngumu sana.Sijawahi weka dawa sasa nahitaji kuweka dawa kwa mara ya kwanza, Je nitumie dawa gani itakayonifaa, lakini pia ipi nzuri ya kopo au ya boksi?
Naombeni ushauri wenu.Tafadhali