4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 7,265
- 8,463
Sitokua na maneno mengi, ila pamoja heshima zenu kuzingatiwa , nitambue wana jf popote walipo kila mmoja kwa imani yake , Mungu akawe juu yenu.
Poleni na janga la ghorofa Kariakoo ambalo limepelekea kuwapoteza ndugu zetu baadhi na Mungu Mwema atawapumzisha pale panapostahili.
Rejea kichwa tajwa hapo juu , Mh Waziri mkuu uliagiza kukamatwa kwa binti Niffer kutokana na kuchangisha wadau mbalimbali kama sehemu ya kusupport jamii au wafanyakazi wenzake .
Tatizo inakuja kwamba pamoja na nia yake nzuri , au vyovyote vile utasema lakini mchakato wote kwa kiasi flani aliweka wazi japo ipo sheria ambayo haitaki mambo yaende vile , nami nasema hii sheria ni muhimu maana bila hivyo mambo hayawezi kwenda vile ,vibaka wanaweza jipenyeza na kufanya yao, kwa hili nipongeze serikali, na sisi ambao tulikua hatujui sasa tunajua sasa.
Ninao mtazamo binafsi ,na sio lazima kubali mtazamo wangu .
Uyu binti Niffer wenda ametenda kosa akiwa na nia njema kabisa wenda amejikuta katika kutenda kosa bila kutojua , ila mbaya zaidi uyu Niffer japo binafsi namfaham akiwa mdogo pitia kuigiza akiwa na Marehem Kanumba sijawahi kutana nae popote pale ,
Soma Pia:
Niwaombe serikali pima , chunguza ,then mkanye , huyu binti ,wenda kesho akawa msaada mkubwa katika taifa hili kuliko vimbwengo wanaomkandia
Thanks

- Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
- Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa