Niuzie subwoofer/sabufa iliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu nipo dar

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,451
12,416
Kama title inavyojieleza hapo nahitaji sabufa kubwa iliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu

Mimi nipo dar

Kama unayo ni pm or comment hapa au weka picha yake niione tufanye biashara
 
Kama title inavyojieleza hapo nahitaji sabufa kubwa iliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu

Mimi nipo dar

Kama unayo ni pm or comment hapa au weka picha yake niione tufanye biashara
Mna sub woofer Aina za ailiang,zina blotooth,sehemu ya usb,zina dm radio pia ni mpya ziko za bei 800000,95000,125000,165000..
Nko dar majaa bei ya jumla na rejareja
NI pm namba yako napatikana dar

Ova
 
Attachments

  • IMG-20170516-WA0058.jpg
    IMG-20170516-WA0058.jpg
    120.3 KB · Views: 163
  • IMG-20171031-WA0000.jpg
    IMG-20171031-WA0000.jpg
    20.3 KB · Views: 251
Mna sub woofer Aina za ailiang,zina blotooth,sehemu ya usb,zina dm radio pia ni mpya ziko za bei 800000,95000,125000,165000..
Nko dar majaa bei ya jumla na rejareja
NI pm namba yako napatikana dar

Ova
Hapo umemaanisha 800k au 80k

Kama 80k weka specifications zake na picha
 
Kama title inavyojieleza hapo nahitaji sabufa kubwa iliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu

Mimi nipo dar

Kama unayo ni pm or comment hapa au weka picha yake niione tufanye biashara
Haina Bluetooth tu
 
Attachments

  • received_1039079496228769.jpeg
    received_1039079496228769.jpeg
    57 KB · Views: 140
  • received_1039079612895424.jpeg
    received_1039079612895424.jpeg
    98.5 KB · Views: 117

Similar Discussions

Back
Top Bottom