marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,006
- 1,807
Mambo vipi watu wa Tech.
Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa.
Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps
Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato wanayo pata kutoka kwa wateja wao wanao lipa kutangaza matanagazo yao kupitia google.
Google hupeleka matangazo hayo kwenye App(Mobile Application) na hulipa kulingana na watumiaji na click unazo pata kwa share.
Hivyo mmliki wa App hutemgemeza pesa kutokana na idadi ya watumiaji wa App anao pata kila siku.
Kwa. Ufupi sana hii ndio google Admob, karibu kuuliza chochote kuhusu Admob.