Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,104
Wakuu wikiendi iliyopita nilienda bar moja hapa mjini.
Katika kuangaza macho yangu jicho likatua kwa mrembo mmoja hivi sio mkali kivile ila alinivuti.
nikaamua kumkaribisha ili aje tujumuike akakubali basi tukawa tunapiga story za hapa na pale huku tukiendeleza kupata vinywaji niseme tu yeye sio mtumiaji wa pombe. Katika mazungumzo yetu mwanzoni nilimchukulia kitamaa zaidi yaani kwaajili ya kumtumia, kwa kuwa nilikuwa nimepigiwa simu ya dharura nikaamua kuomba mawasiliano yake akanipa
Basi zikapita siku mbili nikaanza chati nae nikamuomba mzigo pasipo kumtongoza akanikubalia ila nikamwambia kwa saìz niko busy nikipata muda nitakucheki kama kawaida ikifika jioni napitiaga pale bar nakunywa mbili tatu toka hapo na elekea hom ila muda wa kwenda kutekeleza tendo kiukweli sikuupata kutokana na mazingira yangu
Kadiri siku ninavyozidi kukutana nae ndivyo moyo wangu ulivyozidi kumpenda,ila nilichokosa kukigundua mwanzoni kumbe mrembo ni barmed
Niliyoona hilo na mm tayari nimemkubali nikamwambia sasa siku fulani nitakuwa na muda naomba tukutane sehem nikakupelekee moto
basi akalizia siku ilifika akanisubiri sehem ya tukio
Kumbukeni hapo nilikuwa naendeshwa na vitu viwili tamaa ya nyege na hisia za kumpenda ila yeye alichokijua ni kumtumia kampatia pesa yake aondoke
Basi nilipofika pale kwanza roho yangu ilipoteza gafla hisia za kufanya nae tendo nikajikuta niko kwenye Khali ambayo hata siilewi, nikiwa na maswali kadhaa,, kichwani najua sote tunajua upendo upo vipi na unakuwa katika mood gani ukiwa na yule ambaye kweli ameziteka hisia zako,
Baada ya kukosa jibu nini kifanyike basi nikajikuta tu nimempatia ile pesa na kumwambia mapenzi ni hisia
Nikatoka nje na kwenda hom nikiwa njiani akanipigia simu na kuniambia vipi mbona sikuelewi nikamjibu vile vile mapenzi hisia nikakata simu
kumwambia kinachonisibu nilishindwa sababu tayari nilisha muomba mzigo, kumbe wakati nina jambo lingine lililo zaliwa ndani ya nafsi yangu nikikumbuka ni barmed Unazani namueleza vipi,ikiwa akili yangu imeaminishwa wanawake wanaojiuza huwa hawana mapenzi ya dhati zaidi ya pesa
Je natumia mbinu ipi kumshawishi ili aamini nina mapenzi ya dhati na sio kama mbinu niliyoitumia, awali
Je nimwambie ukweli nampenda kizati au nikaushe kwa kuogopa kuonekana boya lakini hata nikikausha je ukweli atajua kinachonisibu ikiwa mimi nilimchukulia kama malaya flani naye akalipokea hivyo hivyo ila lengo nianze nae uchumba ikiwemo kwa baadaye ndoa
Wakuu hebu tupeane uzoefu kidogo yale maswali ya una umri gani puuze kwanza kidogo nipen mbinu nifanye ili nienjoy kama binadamu wengine