Nitapata wapi kabati ya nguo?

sura mbaya

Member
Mar 5, 2013
80
5
Msaada:Natafuta wanapo uza kabati za nguo zilizo tengezezwa kwa chuma jiini dsm?
 

Attachments

  • 1459241266365.jpg
    12.3 KB · Views: 69
Wewe Sura mbaya,sasa wewe nguo unazo badala uziulize kwamba Kabati zao zinapatikana wapi unazingalia tu mkuu.
Kwani mwenye shida ni wewe au ni zenyewe,zikikuzingua ziache chini,zitapigwa na badiri zenyewe zitasema.Unapenda kujisumbua bure tu,ahhh yaani unazidekeza nguo zako kweli aisee

Halafu mkuu wewe bahili kweli aisee,yaani ukinunua hilo hadi mjukuu analikuta,au ndio unakimbia Mende

Mkuu mie hizo huwa naziona special tu kaka,ila kama kuna mafundi wanatengeneza kama ilivyo kwenye picha basi wanatisha,maana kama special vile.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…