Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

David11

Member
Mar 15, 2024
27
17
Nimepata
Phy D
Math D
Chem C

Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo

MSAADA WA MAWAZO WAKUU

AHSANTENI
 
Nimepata
Phy D
Math D
Chem C

Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo

MSAADA WA MAWAZO WAKUU

AHSANTENI
As far unamiti vigezo jiandae kuchaguliwa mwanafunzi wangu,epuka maneno yenye negativity yatakuvunja moyo,no matter una A au D kakazane utatoka tu na utachaguliwa tu
 
Usikate tamaa kijana ndoto zinatimia hapo, lakin utaanza na diploma baadae utapiga digrii yako safi tu.
 
Hii nchi mtu akishajua what is physics tayari anajiona engineer.
Ndani kabisa ya moyo wako unajua haustahili kusomea kozi tajwa, ndio maana upo hapa unaweweseka kama mgonjwa wa pepopunda.
Art courses might be suitable for you.
Hakuna aliyeandikiw kufel maisha ni kupamban na kumuomba mungu huwez jua najiamin nin saw bro kaa kwa kutulia kma huna point
 
Hakuna aliyeandikiw kufel maisha ni kupamban na kumuomba mungu huwez jua najiamin nin saw bro kaa kwa kutulia kma huna point
Kama ungekuwa na point usingepata hizo D.
Mtu anayepata D ni kilaza kwenye somo husika.
Kama ungekuwa unastahili kusomea kozi tajwa usingekuwa hapa kuuliza maswali na kutafuta faraja.
 
Kama ungekuwa na point usingepata hizo D.
Mtu anayepata D ni kilaza kwenye somo husika.
Kama ungekuwa unastahili kusomea kozi tajwa usingekuwa hapa kuuliza maswali na kutafuta faraja.
Kwan serekali Hawa kuwa na akili kuwek hich kigez Tulia saw Sina uwez ila achan na mm saw jua maisha yak
 
Kwan serekali Hawa kuwa na akili kuwek hich kigez Tulia saw Sina uwez ila achan na mm saw jua maisha yak
Educated yet stupid.
Huwezi kuweka mada kwenye jukwaa lenye members zaidi ya laki tano halafu utegemee wote watatoa maoni ya kukufurahisha.
Nimesema wewe ni kilaza kwenye hayo masomo tajwa ndio maana unatafuta maoni ya kukutia moyo.
Mimi siwezi kukuambia uongo ili kukufurahisha sababu mimi sio bwana yako.
 
Back
Top Bottom