Nitakapokuwa na Umri wa miaka 62 nitawasilisha maombi ya kuanzisha Chama Cha Siasa, hiki kitakuwa chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM

Gusa Achia Inachosha

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
6,766
14,156
Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake.

Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM.

Basi na ikawe heri nawatakia maisha marefu sote tushiriki kuyaishi yote yaliyo ya ndoto zetu.

Amen
 
Back
Top Bottom