Nitajuaje kama simu(Samsung) ni original?

install cpu z toka playstore halafu ifungue halafu angalia soc yake

ukiona inaandika mediatek kama soc ujue hio ni fake

original itakuwa na soc ya snapdragon 800 au exynos octa 5420
 
Mkuu mimi ni mtu mgeni katika haya. Nifafanulie kidogo: CPU nadhani you mean central processing unit, sasa Z ni nini? playstore naipata wapi (najua kwenye htc yangu ipo!) SOC ni nini?. Thanks again and apology
 
Hahahaa pole kweli wewe mgeni...

kwa vile wewe mgeni mwambie muuzaji akuwekee program ya CPU Z toka playstore.
akisha kuwekea rudi hapa
 
Mkuu mimi ni mtu mgeni katika haya. Nifafanulie kidogo: CPU nadhani you mean central processing unit, sasa Z ni nini? playstore naipata wapi (najua kwenye htc yangu ipo!) SOC ni nini?. Thanks again and apology

cpu-z ni application
playstore - store ya kupatia application inakuja na hio tablet

soc ni ndio cpu na wenzake kama gpu, wifi, modem nk ila sio muhimu kuijua zaidi we tu hakikisha ni kama nilivyokwambia hapo juu. hope unajua kudownload application kupitia playstore
 
Asante sana. Let me work on that. I will come back to you reporting success, I guess!
 
Mkwawa, tafadhali nisaidie tena, nimeweka tayari, lakini cpu-z ziko nyingi nichague ipi?
 
ifungue... tafuta sehemeu imeandikwa soc

hapo kwenye soc sasa...kama imeandikwa mediatek NI FAKEEEE
kama imeandikwa snapdragon 800 au exynos octa 5420 ni ORIGINALLY
 
Rafiki mbona cpu-z zipo nyingi? niweke ipi? niliyoweka ina nembo ya t na kuandikwa device info
nimefungua soc inaandika cpu archtecture: armuv7
cores 4
revision 3
cpu load 4%
 
Ifungue nyuma then angalia IMEI number, ukiiona IMEI namba iingize katika website
imei.info
 
check IMEI number, ikikushinda nitumie IMEI number nitakwambia simu ilivyo.
 
ina rangi ya zambarau kama hv

neno soc lipo juu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…