Gari ipo Dodoma,inatumia diesel,manual,1999,17seats,16passengers,multicolour,haina shida yoyote,Mimi ni mmiliki,kwa maelezo zaidi namba nimeshatoa hapo kwa anayehitaji gari,narudia tena haina shida yoyote inafanya kazi daladala INA uwezo wa kwenda safari ya umbali wowote na bei haibadiliki ng'oo.