Mwaka : 2000
Mafuta : dizel
Rangi : silver
Cc : 3150
Model : QD
Bei: 14 m
Mawasiliano: 0767 425555,Arusha
Sababu za kuuza: nataka niongezee ninunue gari nyingine ya biashara. Gari iko vizur na imetumika mwaka mmoja tangu itoke japan
Asaante kwa taarifa mkuu
Kwanza jitathmini kwenye Bei kwa Nissan.
Gari ipo vizuri inamaana unaiuza kwa sababu fulani hivi.
Ila akifika mtu 10m,muuzie haraka sana
Asaante kwa taarifa mkuu
Kwanza jitathmini kwenye Bei kwa Nissan.
Gari ipo vizuri inamaana unaiuza kwa sababu fulani hivi.
Ila akifika mtu 10m,muuzie haraka sana