Nisome kozi gani niweze kutoboa kimaisha kiwepesi zaidi

Mkereketwa wa NAZI

JF-Expert Member
Oct 29, 2022
1,047
2,439
Habari za mchana
Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya serikali nikafanye mishe nyengine nje ya serikali. Nimesomea PCB nmepata 1.5 matokeo ya mwaka huu. Naomba ushauri kwenye hili suala ili nifanikishe ndoto zangu.
N.B nimeikuta sehem anaomba ushauri
 
anapata 1 imesimama na hajui asome coz gani shule Bado haijamsaidia huyo
 
Acha na shule za kurarishwa hivi huoni PhD holders wanakunywa juice ya kutoka Madagascar na kuamini inatibu corona badala ya kutengeneza dawa wao kwenye maabara zetu?
Huoni elimu zetu ni kukariri tu?
Nenda VETA kasomee hata ufundi wa ujenzi au chochote utakachoweza kuamka asubuhi ukijua umeitwa hata bricklayers au wiring
Bora uwe hata bwana mifugo maana ni vitendo zaidi na unaweza ukawa mfugaji kitaaluma zaidi na inalipa haswa
 
Aisee iyo n good idea mwenyew nilisema kozi nzuri n kilimo mifugo na uvuvi yaan hata usipoajiriwa unaweza jiajiri mwenyew
 
Habari za mchana
Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya serikali nikafanye mishe nyengine nje ya serikali. Nimesomea PCB nmepata 1.5 matokeo ya mwaka huu. Naomba ushauri kwenye hili suala ili nifanikishe ndoto zangu.
N.B nimeikuta sehem anaomba ushauri
Soma TU Ili uelimike !

Kutoka kimaisha kwasasa sio Shule Tena bali uelewa na juhudi baada ya kumaliza masomo!!!

Matajiri wengi hawajasoma sana Bali waliona fursa na mahitaji ya watu wakawa matajiri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom