Naomba unipe muongozo mkuu nijue wapi pa kuanziaNenda zanzibar huko makampuni ya ulinzi kibao ukalinde mahotelini, salary kuanzia 350k hadi 600k kwa kampuni kubwa
Hakuna kazi ya namna iyo usimuongopee mwenzio kila kazi ina taratibu zake.kwa maisha ya sasa uwezi pata kazi ya laki 6 bila kuongaNenda zanzibar huko makampuni ya ulinzi kibao ukalinde mahotelini, salary kuanzia 350k hadi 600k kwa kampuni kubwa
Asante mkuu. Ndo hivyoMaisha haya
Baba mwenye mke na watoto wawili anatafuta kazi ya kumuingizia 5K kwa siku 😥
Kila la heri mkuu,nakuombea upate
ulinzi nao mpaka uhonge? Mbona mimi nilipata bila kuhonga?Hakuna kazi ya namna iyo usimuongopee mwenzio kila kazi ina taratibu zake.kwa maisha ya sasa uwezi pata kazi ya laki 6 bila kuonga
Hali ni tight ndugu yang Cha muhimu familia waende chooni.Maisha haya
Baba mwenye mke na watoto wawili anatafuta kazi ya kumuingizia 5K kwa siku 😥
Kila la heri mkuu,nakuombea upate
Mkuu ungejarbu viwandani hapo dar viwanda vingi kuna kile cha bakhressa.Wakuu. Matumaini yangu nitapata msaada maana nipo kwenye hali mbaya sana
Nashukuru kwa wazo hili mkuu ila bahati mbaya nina shida kidogo kwenye mbavu sitoweza kubeba viroba kwa muda mrefuMkuu ungejarbu viwandani hapo dar viwanda vingi kuna kile cha bakhressa.
Asante mkuu. Ni mapito kidogo napitia kama mwanadamuPole sana mkuu. Kila la kheri
Unaishi wapi, unapatikana wapiHabari za asubuhi wakuu.
Ni siku nyingine tena, tumshukuru Mungu. Wakuu, nipo mbele yenu nikiomba msaada wa kibarua chochote ili angalau nipate 5000 kwa siku kwangu inatosha maana hali sio hali na nimepambana sana mpaka kufika huku kuomba msaada.
Kuna sehemu nilikuwa nafanya kibarua cha muda mfupi na nimemaliza muda wake week 2 zilizopita.
Wasifu wangu
1. Mwanaume
2. Umri miaka 32
3. Nina mke na watoto 2
4. Naishi Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi popote
5. Elimu yangu diploma ya uhasibu ila sijawahi kuitumia kwenye harakati zangu
6. Nina leseni ya udereva class D
Naomba ndugu zangu kwa atakayeguswa na hili anipe support ili niweze kuilinda hii familia. Sichagui kazi
Asanteni. Asubuhi njema
Mkuu asante sana nipo tayari kuja kuifanya hiyo kazi. Bado sijapata kazi. Mawasiliano haya 0766946609. Kuhusu UAMINIFU mkuu sitaki niongee sana ila utendaji wangu utajielezaNjooo PM nikupe kazi kama utakua haujapata ofisi ipo KIMARA jitahidi uwe unaishi sehemu ambayo usafiri kwako ni gari 1 tu kuja na 1 kurudi maana kwa 5000 unayotaka mimi nitakuongeza 2000 zaidi ya nauli jumla ntakupa 7000 tu.
Kwa elimu yako,sifa zako si haba tukapambana pamoja.
uwe tu mwaminifu na unionyeshe kwa vitrndo maana halisi ya UAMINIFU.
Hutoweza..PoleNipo Dar, chanika mkuu