boufer
Member
- May 9, 2014
- 59
- 47
Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi kwa sasa km hadi utendaji unapitia utumishi kuna uwezekano wa kupata ajira yeyote kwa urahisi?NAWASILISHA