fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Habari za asubuhi wana JF.
Mwenzenu nimevutiwa na hizi Operating System (Linux mint na Window 8),so naomba ushari au kama kuna mtu ana idea. Je nahitaji computer yenye uwezo gani ili niweze kuzitmia zote mbili kwenye PC moja(nazihitaji zote kwa matumizi tofauti).
PC yangu ina specification zifuatazo
1. RAM 2GB
2. Hard drive 350 GB
3. Processor 2 GHz
Je hii itafaa bila kuleta matatizo kama kuua PC yangu au kuifanya iwe slow?