Nishati Safi ya Kupikia: Wiki ya Huduma kwa Wateja TotalEnergies Yamuunga Mkono Rais Samia, Kusambaza Gesi ya Majumbani Kila Kona Hadi Vijijini!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,300
118,506
TOTALENERGIES YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAANZA KUSAMBAZA GESI YA KUPIKIA.

Dar es salaam, tarehe 4 Oktoba 2024 – Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, imeamua kumuunga mkono Rais Samia, kwenye kampeni ya nishati bora ya kupikia, kwa kuanza kusambaza gesi ya kupikia, katika vituo vyake vyote zaidi ya 100 nchini, ili kufanikisha ndoto ya Rais Samia, kufikia mwaka 2030, Watanzania wote wawe wanatumia nishati safi ya kupikia.

Uamuzi huo, umetangazwa leo na Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa Total, Getrude Mpangile, wakati wa siku ya pili ya wiki ya huduma kwa wateja iliyoanza jana kwa uzinduzi wa kituo cha mafuta cha TotalEnergies Magomeni Makanya, ile njia ya Tandale Uzuri.

Mpangile amesema, kufuatia kazi kubwa na nzuri inayofanywa na Rais Samia, kuhamasisha matumizi ya nishati salama ya kupikia, kwa vile TotalEnergies, ndio kampuni inayoongoza Tanzania kwa idadi ya vituo vya mafuta, TotalEnergies, imeamua kumuunga mkono Rais Samia kwenye suala la nishati bora ya kupikia, hivyo sasa itasambaza gesi ya majumbani, katika kampeni iitwayo “Jiko Bomba, Pishi Pambe”.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya TotalEnergy, Abdul-Rahim Siddique, amezungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu alisema; "Ni siku ya furaha kusherehekea wateja wetu, washirika na hatua muhimu za kampuni katika kuhudumia jamii ya Tanzania kwa bidhaa na huduma za ubora wa juu kutoka TotalEnergies na kwa mdau wetu Mohamed Binzoo ambaye ni muuzaji na mmiliki wa TotalEnergies Makanya Service Station.

Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kwakwezi, amesema Kaulimbiu ya Wiki ya Wateja wa Afrika ya 2024 inavyoendelea “Kukusaidia kila mahali, kila wakati, katika bara zima,” hakuna njia bora ya kuionyesha kuliko kusambaza bidhaa na huduma zetu kwa wakazi wa Makanya Tandale na jumuiya jirani. Hii ndiyo taswira ya matarajio yetu ya kuifikia kila Tanzania bidhaa za ubora wa juu za Excellium, Vilainishi, Kadi, Gesi, Taa za Jua na Huduma kutoka TotalEnergies”,

Katika hotuba yake, mmiliki wa TotalEnergies Makanya Service Station, Thabit Bizoo alitoa shukrani zake kwa kampuni ya TotalEnergies na wateja wao waaminifu kwa mafanikio ya kituo cha huduma cha Makanya, “Nawashukuru sana TotalEnergies kwa msaada wao tangu kujengwa. ya kituo kwa uendeshaji wake wa sasa ambao umetuwezesha kuwa hapa leo katika kituo hiki kizuri.

Shukrani nyingi pia ziwaendee wateja wetu wa Makanya wanaoamini chapa ya TotalEnergies ambayo imewawezesha kutuamini na kuturuhusu kuwahudumia. Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu ili uwe na matumizi bora zaidi katika Kituo cha Huduma cha TotalEnergies Makanya na ushiriki maoni yako nasi ili tuweze kukuhudumia vyema zaidi.”

Kituo cha TotalEnergies Makanya hutoa nishati bora, urahisi na huduma ya kipekee kwa jamii. Kwa kuzingatia kuridhika kwa wateja na ubora, tunalenga kuwa kivutio kinachopendelewa kwa wateja wanaohitaji mafuta, gesi, vilainishi, taa za jua na vifaa vya huduma kwa wakazi wa Makanya na jumuiya jirani zao. End.

Kituo cha TotalEnergies Makanya hutoa nishati bora, urahisi na huduma ya kipekee kwa jamii. Kwa kuzingatia kuridhika kwa wateja na ubora, tunalenga kuwa kivutio kinachopendelewa kwa wateja wanaohitaji mafuta, gesi, vilainishi, taa za jua na vifaa vya huduma kwa wakazi wa Makanya na jumuiya jirani zao.
mafuta na vilainishi,.

Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya mafuta TotalEnergies Abdulrahim Siddique pamoja na Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies cha Makanya Thabit Amer wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha mafuta cha TotalEnergies cha Makanya ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya mafuta TotalEnergies Abdul Rahim Siddique akizungumza kuhusu namna Kampuni ya TotalEnergies ilivyijipanga kutoa huduma katika kituo hicho wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies cha Makanya Thabit Amer akizungumza kuhusu uwekezaji uliofanywa pamoja na nmna watakavyotoa huduma katika kituo hicho wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kakwezi akizungumza kuhusu Kampuni ya TotalEnergies inavyoendelea kufungua njia kwa makampuni mbalimbali kuweza kufungu vituo vya mafuta kwa chapa ya TotalEnergies ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TotalEnergies pamoja na wadau mbalimbali wa kampuni hiyo wakifuatilia uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam

Picha ya pamoja

Paskali
 
Kuna member humu,alitoa ushauri mzuri sana kuhusu nishati Safi ya kupikia na katika Uzi huo,alitoa ushauri huu,kwa sababu umeme umesha fika vijiji vingi kupitia wakala wa umeme vijiji(REA) hivyo hakuna sababu ya serikali kutumia gharama za kusambaza gesi,bali gesi hiyo itumike kwenye kuzalisha umeme wenye unafuu wa bei,hivyo wananchi watahamasika kutumia umeme kama nishati mbadala.

Hii nchi tuna shida kubwa sana kwa wapanga sera zetu.
 
Kwa hiyo nishati safi mbona hawasemi kupunguza gharama za umeme watu wapikie umeme badala yake wanahamasisha matumizi ya gesi, kumbuka vizuri kampeni za ku promote mauzo ya gesi alizianza Janual makamba, naona sasa mama kizimkazi kazishika hizi kampeni waziwazi ila wanaegemea upande mmoja wa gesi tu kwa nini? Hii ni biashara ya Rostam Azizi kaahidi kutoa hela ya kampeni.
 
Kuna member humu,alitoa ushauri mzuri sana kuhusu nishati Safi ya kupikia na katika Uzi huo,alitoa ushauri huu,kwa sababu umeme umesha fika vijiji vingi kupitia wakala wa umeme vijiji(REA) hivyo hakuna sababu ya serikali kutumia gharama za kusambaza gesi,bali gesi hiyo itumike kwenye kuzalisha umeme wenye unafuu wa bei,hivyo wananchi watahamasika kutumia umeme kama nishati mbadala.

Hii nchi tuna shida kubwa sana kwa wapanga sera zetu.
Cha ajabu gharama za umeme wameoandisha
 
Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kakwezi akizungumza kuhusu Kampuni ya TotalEnergies inavyoendelea kufungua njia kwa makampuni mbalimbali kuweza kufungu vituo vya mafuta kwa chapa ya TotalEnergies
Naomba kesho aje kwangu anipe ushauri namna ya kusambaza gas kwenye maskani yangu
 
Huyu mzee anafanya nn na mkasi hapa
IMG_0161.jpeg
 
TOTALENERGIES YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAANZA KUSAMBAZA GESI YA KUPIKIA.

Dar es salaam, tarehe 4 Oktoba 2024 – Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, imeamua kumuunga mkono Rais Samia, kwenye kampeni ya nishati bora ya kupikia, kwa kuanza kusambaza gesi ya kupikia, katika vituo vyake vyote zaidi ya 100 nchini, ili kufanikisha ndoto ya Rais Samia, kufikia mwaka 2030, Watanzania wote wawe wanatumia nishati safi ya kupikia.

Uamuzi huo, umetangazwa leo na Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa Total, Getrude Mpangile, wakati wa siku ya pili ya wiki ya huduma kwa wateja iliyoanza jana kwa uzinduzi wa kituo cha mafuta cha TotalEnergies Magomeni Makanya, ile njia ya Tandale Uzuri.

Mpangile amesema, kufuatia kazi kubwa na nzuri inayofanywa na Rais Samia, kuhamasisha matumizi ya nishati salama ya kupikia, kwa vile TotalEnergies, ndio kampuni inayoongoza Tanzania kwa idadi ya vituo vya mafuta, TotalEnergies, imeamua kumuunga mkono Rais Samia kwenye suala la nishati bora ya kupikia, hivyo sasa itasambaza gesi ya majumbani, katika kampeni iitwayo “Jiko Bomba, Pishi Pambe”.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya TotalEnergy, Abdul-Rahim Siddique, amezungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu alisema; "Ni siku ya furaha kusherehekea wateja wetu, washirika na hatua muhimu za kampuni katika kuhudumia jamii ya Tanzania kwa bidhaa na huduma za ubora wa juu kutoka TotalEnergies na kwa mdau wetu Mohamed Binzoo ambaye ni muuzaji na mmiliki wa TotalEnergies Makanya Service Station.

Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kwakwezi, amesema Kaulimbiu ya Wiki ya Wateja wa Afrika ya 2024 inavyoendelea “Kukusaidia kila mahali, kila wakati, katika bara zima,” hakuna njia bora ya kuionyesha kuliko kusambaza bidhaa na huduma zetu kwa wakazi wa Makanya Tandale na jumuiya jirani. Hii ndiyo taswira ya matarajio yetu ya kuifikia kila Tanzania bidhaa za ubora wa juu za Excellium, Vilainishi, Kadi, Gesi, Taa za Jua na Huduma kutoka TotalEnergies”,

Katika hotuba yake, mmiliki wa TotalEnergies Makanya Service Station, Thabit Bizoo alitoa shukrani zake kwa kampuni ya TotalEnergies na wateja wao waaminifu kwa mafanikio ya kituo cha huduma cha Makanya, “Nawashukuru sana TotalEnergies kwa msaada wao tangu kujengwa. ya kituo kwa uendeshaji wake wa sasa ambao umetuwezesha kuwa hapa leo katika kituo hiki kizuri.

Shukrani nyingi pia ziwaendee wateja wetu wa Makanya wanaoamini chapa ya TotalEnergies ambayo imewawezesha kutuamini na kuturuhusu kuwahudumia. Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu ili uwe na matumizi bora zaidi katika Kituo cha Huduma cha TotalEnergies Makanya na ushiriki maoni yako nasi ili tuweze kukuhudumia vyema zaidi.”

Kituo cha TotalEnergies Makanya hutoa nishati bora, urahisi na huduma ya kipekee kwa jamii. Kwa kuzingatia kuridhika kwa wateja na ubora, tunalenga kuwa kivutio kinachopendelewa kwa wateja wanaohitaji mafuta, gesi, vilainishi, taa za jua na vifaa vya huduma kwa wakazi wa Makanya na jumuiya jirani zao. End.

Kituo cha TotalEnergies Makanya hutoa nishati bora, urahisi na huduma ya kipekee kwa jamii. Kwa kuzingatia kuridhika kwa wateja na ubora, tunalenga kuwa kivutio kinachopendelewa kwa wateja wanaohitaji mafuta, gesi, vilainishi, taa za jua na vifaa vya huduma kwa wakazi wa Makanya na jumuiya jirani zao.
mafuta na vilainishi,.

Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya mafuta TotalEnergies Abdulrahim Siddique pamoja na Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies cha Makanya Thabit Amer wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha mafuta cha TotalEnergies cha Makanya ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya mafuta TotalEnergies Abdul Rahim Siddique akizungumza kuhusu namna Kampuni ya TotalEnergies ilivyijipanga kutoa huduma katika kituo hicho wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies cha Makanya Thabit Amer akizungumza kuhusu uwekezaji uliofanywa pamoja na nmna watakavyotoa huduma katika kituo hicho wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kakwezi akizungumza kuhusu Kampuni ya TotalEnergies inavyoendelea kufungua njia kwa makampuni mbalimbali kuweza kufungu vituo vya mafuta kwa chapa ya TotalEnergies ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TotalEnergies pamoja na wadau mbalimbali wa kampuni hiyo wakifuatilia uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam

Picha ya pamoja

Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya mafuta TotalEnergies Abdulrahim Siddique pamoja na Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies cha Makanya Thabit Amer wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha mafuta cha TotalEnergies cha Makanya ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituo vya mafuta TotalEnergies Abdul Rahim Siddique akizungumza kuhusu namna Kampuni ya TotalEnergies ilivyijipanga kutoa huduma katika kituo hicho wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha TotalEnergies cha Makanya Thabit Amer akizungumza kuhusu uwekezaji uliofanywa pamoja na nmna watakavyotoa huduma katika kituo hicho wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Meneja Masoko wa TotalEnergies, Caroline Kakwezi akizungumza kuhusu Kampuni ya TotalEnergies inavyoendelea kufungua njia kwa makampuni mbalimbali kuweza kufungu vituo vya mafuta kwa chapa ya TotalEnergies ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi wakati wa uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TotalEnergies pamoja na wadau mbalimbali wa kampuni hiyo wakifuatilia uzinduzi wa Kituo cha mafuta cha TotalEnergies kilichopo Makanya, Magomeni jijini Dar es Salaam

Picha ya pamoja
Umri wako na uchawa haiendani, ni mda mrefu ungekuwa umefikiriwa sasa
 
Anawadanganya tu hao Total energy mi nafahamu gesi zinazosambazwa uku bush ni za Rostam Aziz yaani Taifa Gas na tena zinawaendea wanachama WA CCM ambao sio wahusika na kuwaacha wanahostahili nimeshuhudia mara kibao vikifanyika vikao vya CCM wilaya baada ya vikao wanagawiana mitungi ya gesi midogo ya Taifa Gesi tena ata mitungi mi 5 mi5 yaani Bora alivyotolewa Januari maana ngoja niishie hapo
 
Mkuu wewe ni mkristo apa, hukupewa hata nauli? tuache utani hata kama ni mimi lazima ningechukua kama watumishi wa MUNGU wanapokea mimi na wewe ni nani tusipokee pesa halali na siyo rushwa?
uliza mwandishi yoyote unayemjua akuambie kuhusu mimi ,huwa sichukui bahasha yoyote, I do it just for the love of it.
P
 
Kuna member humu,alitoa ushauri mzuri sana kuhusu nishati Safi ya kupikia na katika Uzi huo,alitoa ushauri huu,kwa sababu umeme umesha fika vijiji vingi kupitia wakala wa umeme vijiji(REA) hivyo hakuna sababu ya serikali kutumia gharama za kusambaza gesi,bali gesi hiyo itumike kwenye kuzalisha umeme wenye unafuu wa bei,hivyo wananchi watahamasika kutumia umeme kama nishati mbadala.

Hii nchi tuna shida kubwa sana kwa wapanga sera zetu.
Yaani lile andiko lilikuwa nzuri sana ni kiasi hawa viongozi wacopi na paste tu ila sasa ndio kwanza wapo bize na kampeni za makampuni ya gas ambayo gharama zake wengi wa wananchi hawazimudu kiuhalisia.
 
Back
Top Bottom