nenda setting halafu more then nenda mobile network halafu chagua acess point nameSina,natumia voda
chakufanya ingia settings then apps then angalia kama playstore na google play service ipo kama ipo clear data then restart kisha jaribu tena kudownload ikiwa kama playstore hukuiona ukishafika kwenye apps slide page kushota mpaka utakapoona all then tafuta playstore na google play service then clear data then restart simu kisha jaribu tena pia usipoiona google play service sio tatizo ww fanyia tu hiyo playstore peke yakeHabari zenu wadau!
NatumiaTecno,sasa leo nikarestore factory. Baada ya hapo sikuweza tena kudownload apps,nikiingia playstore nichague app ya kudownload inatokea message "error retrieving information from server" na kwenye status bar inatokea message authentication error.
Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo.
nenda setting halafu more then nenda mobile network halafu chagua acess point name
click add apn halafu connection name eka chochote na apn andika internet then save halafu activate hio apn kwa kuiekea dot kwa mbele
chakufanya ingia settings then apps then angalia kama playstore na google play service ipo kama ipo clear data then restart kisha jaribu tena kudownload ikiwa kama playstore hukuiona ukishafika kwenye apps slide page kushota mpaka utakapoona all then tafuta playstore na google play service then clear data then restart simu kisha jaribu tena pia usipoiona google play service sio tatizo ww fanyia tu hiyo playstore peke yake
Shida ni apn tu fanya kam ulivyoambiwa na mkwawa hapo juuHabari zenu wadau!
NatumiaTecno,sasa leo nikarestore factory. Baada ya hapo sikuweza tena kudownload apps,nikiingia playstore nichague app ya kudownload inatokea message "error retrieving information from server" na kwenye status bar inatokea message authentication error.
Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo.
jaribu nlivyoelekeza hapo juu utoe mrejeshoNimerekebisha apn ila bado inakataa
Andika vodacomweb halafu chini yake ndiyo andika internet halafu zima data uwashe tena mkuu pia nashauri lini iwe namba moja rejea na hali itakayojitokeza plzNimerekebisha apn ila bado inakataa
hii ndio solution kamilichakufanya ingia settings then apps then angalia kama playstore na google play service ipo kama ipo clear data then restart kisha jaribu tena kudownload ikiwa kama playstore hukuiona ukishafika kwenye apps slide page kushota mpaka utakapoona all then tafuta playstore na google play service then clear data then restart simu kisha jaribu tena pia usipoiona google play service sio tatizo ww fanyia tu hiyo playstore peke yake