Nisaidieni, video call zinakubali ila call za kawaida hazikubali kwenye Samsung note 2

yoga

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,820
8,498
Samsung note 2 nikipiga simu (voice call)simsikii mtu wala yeye anisikii ila nikipiga video call tunasikilizana vizuri kabisa!! What is the problem hapo???
 
Je ukiweka loud speaker au earphones mnasikilizana?


Ukiweka loud speker hausikii chochote ukiweka earphone hamna kitu!!! Yaani kwa ufupi voice call haisikiki ila video ipo vizuri 100%
 
Umejaribu kufanya factory reset? Ikigoma wapelekee wakaichokonoe waongezee matatizo. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…