NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

Joseph 44

Member
Nov 14, 2022
22
14
Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau naombeni mnisaidie kwa mawazo yenu
 

Attachments

  • images.jpeg
    17.4 KB · Views: 2
  • 633ffd91fd8d656b5e4f9579-newest-ps4-playstation-4-1tb-slim-gaming.jpg
    60 KB · Views: 2
utofauti ni game exclusive, yaani Kuna game zipo kwa ajili ya PS na Xbox aziendi kwa platform nyingine mfano PS× god of war,the last of us, spiderman,Gran Turismo etc afu kwa Xbox× Forza , Halo,gear of war etc

**Mtaani wamezoea PS ko nenda na PS ,Xbox iadd ukiwa tayari na ps
 
Asante Kaka umenipa Mwanga na vipi ni console ya x box gani inaendana na ps 4 slim?
 
utofauti ni game exclusive, yaani Kuna game zipo kwa ajili ya PS na Xbox aziendi kwa platform nyingine mfano PS× god of war,the last of us, spiderman,Gran Turismo etc afu kwa Xbox×Forza , Halo,gear of war etc
Asante Kaka umenipa Mwanga na vipi ni console ya x box gani inaendana na ps 4 slim?
Xbox one s
 
Reactions: PYD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…