mkuu unaweza kuona kama nimemtumia vile lakini hilo si lengo langu hata kidogo hizi ni baadhi ya changamoto zake nimefupisha sana maelezo lakini ni mengi mno ninayoyavumilia ila ukweli nimefikia mahali nimechoka kuwa mtumwa wake maaana hata sasa bado amenuna tu na majibu yake ni shortcutUkiwa unatunga uongo ujitahidi kuwa na sanaa ya bongo movie,uongo wako utakubalika haraka. Umetiririka pumba weee ukaja jazia mashudu ati dini yenu tofauti,muda wote ulioishi nae ulikua wapi kufahamu tofauti ya dini? Si useme tu ukweli umemtumia binti wa watu vya kutosha,umemchoka unaanza visingizio ati kakufonya mara namba ngeni inayompa kiburi kisha ukakumbuka dini tofauti
Hapa kinachokusumbua sio utoto bali ni ujinga na sifa za mitandaoni uonekane kidume kinachopiga mwanamke kisa kakufyonza.
yupo mpaka sasa hivi ukweli ni kwamba hana hela ya kurudi hostel cuz ni mwanachuo chuo kimoja cha ualimu ...toka tuanze kuishi tuna mwaka mmoja now ina maana akipata hela anytime ni wa kuondoka huyowe kama unakazi zako nenda mwache hm mwachie ela yamatumizi,ukiludi jion utapata jibu kama wakuondoka ataondoka kama,kama sio wakuondoka utamkuta,alafu jikaze kiume usioneshe unamjali sana,yani fanya kama akitaka kwenda poa,uone moto wake,anatikisa kiberiti,akikaa ndio uanze kufatilia kimya kimya kama anamausiano ya nje,anaweza akawa nishoga yake tu wanapigaga umbea sana we ukaisi nimwanaume,lakin pia mabint wengi wakisha kaa na mtu mda mrefu huwa wanabadilika bila wenyewe kujijua aidha kwasababu wanaiga kwa wenzao au wewe unaweza kuwa chanzo cha tatizo mpaka yeye kubadilika,ugomvi ukiisha anza kuyajenga taratibu kwamazungumzo yataratibu tu kama niwako mtaelewana namaisha yatakuwa poa,utaacha wangapi mwl,wao kipofu nikazi yako kumfanya aone unachokiona wewe mbele.@mawazo yangu tu.
mkuu umepigilia msumari yaani ni mtu anayejiona malaika hapendi umkosoe hata kama unaona kabisa jambo fulani lina dosari ya moja kwa moja yeye huona unambishia na humuungi mkonokuishi na mwanamke unae muhitaji sana kuliko anavyokuhitaji wewe ,ni kujitengezea utumwa
ona amekukosea Adabu mmemkanya mwisho wa siku ww ndo unaomba msamaha
sasa nani hapo alomkosea mwenzie
Sasa compact kwani manzi hajui yeye ni mchumba wa mtu!Kwa nini usichukue hiyo namba na kumpigia huyo mwanaume na kumkataza kuwasiliana na mchumba wako?
Binafsi kama unauhakika namba ni ya mwanaume na umemwonya hataki kwangu naona achana naye... ila mengine jiongeze mwenyewe maana wew unayajua vizuri kuliko mimi.anajua cuz si mara ya kwanza kumuonya juu kitendo kama hicho ila ana tabia ya kupuuzia pia hutumia kama njia ya kuniumiza kisaikolojia