Nipo Morogoro, natafuta connection ya sehemu ya kujitolea

Kantundu

New Member
Dec 12, 2023
4
1
Jamani habari,

Nipo morogoro naombeni connection ya sehemu ya kujitolea. (Volunteerism au internship)

Ila pia hata kazi yoyote ya Stationary au saloon. ( Najua mambo ya graphics design na computer, ila sio expert)
Nina degree ya International Relations and Diplomacy.

Asanteni.

What'sapp: 0741 965 777

NB: ni mwanaume ✅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom