Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 904
- 2,514
Kwa hali inayoendelea kwasasa kwenye hii nchi kusema za ukweli nipo kwenye taharuki kweli aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi aisee na hali inayoendelea kwenye hii nchi hata sijui itakuwaje aisee.
Je, nitakufa kwa natural death? Au nitakufa kwa kutandikwa na kutekwa? Nipo kwenye taharuki.
Siku za kati kati watu wengi wamepoteza maisha hivi hivi tena kijana kama mimi na wala sikutegemea nchi itafika kwenye hali hii kipindi hiki au awamu hii ya Rais samia nimekuwa na hofu zaidi tena kuliko awamu ya Rais magufuli sijajua hivi vifo ni maaagizo toka juu au polisi wenyewe tu ndiyo chanzo nashindwa hata kujua.
Tumrudie muumba wa mbingu na ardhi!
Je, nitakufaje? Nitakufaje? Nitakufaje!