Nipo kwenye mahusiano na Mama Mtu mzima, anaruhusu mabinti zake wanasoma chat zetu za ujinga

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,978
49,061
Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.

Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh

Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumia tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi SMS za ujinga mfano jinsi anavyojua kuzagamuana etc

Nilichokuja kugundua kila tunachochat mabinti zake wanasoma, hata akija kupelekewa moto wanajua

Nimeamua kumuacha kwa kutojua kutunza faragha
 
Slow slow mbele kuna mteremko mkali 😹😹
 
Attachments

  • IMG_3085.jpeg
    IMG_3085.jpeg
    44.9 KB · Views: 8
Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.

Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh

Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wanatabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumis tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi sms za ujinga mfano jinsi anavyojua kuzagamuana etc

Nilichokuja kugundua kila tunachochat mabinti zake wanasoma, hata akija kupelekewa moto wanajua

Nimeamua kumuacha kwa kutojua kutunza faragha
Hata mazezeta huzaa na pia huzeeka
 
Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.

Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh

Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumia tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi SMS za ujinga mfano jinsi anavyojua kuzagamuana etc

Nilichokuja kugundua kila tunachochat mabinti zake wanasoma, hata akija kupelekewa moto wanajua

Nimeamua kumuacha kwa kutojua kutunza faragha
Mhuuuu
 
Back
Top Bottom