Wapendwa, wana JF poleni na majukumu, kheri ya mwaka mpya, ongeleni kwa kupataa uongozi mpya kuanzia diwani hadi rais, kiukweli nimekuwa mbali sana na forum hii kwa sababu ambazo sikuweza kuzizuia. Leo nipo na naamini tutaendelea kuwa wote katika mijadala mbalimbali ya kupanuana uelewa.
Ni hayo tu wapendwa ... kama mlihisi nimepotea .. bado nipo... wapo mlonitumia PM nashukuru nimezisoma na kuzijibu ..... Wewe XXXXXX.... hapo uliyeko Dar .... unajijua mwenyewe kwamba umenimissss pole sana. Nami pia nilikumiss pia ... tuendelee kuwasiliana jamvini kuna raha yake .... SOMETIMES SIMU SIO FRESH