Digital Ticha
Member
- Jun 16, 2023
- 66
- 106
Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi.
Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila changamoto yake haitoi kazi za coloured.
Naomba mwenye pendekezo la printer ya HP dizain kama hii HP ila inatoa pia copy za rangi anisaidie details.
Au kama itabidi niwe na printer mbili yani nitafute ndogo maalum kwa kazi za rangi tu nitapata printer ipi ndogo lakini nzuri na affordable yani nipate details zake mimi nipo blind kidogo kuhusu printers ila nilipewa somo kidogo kuhusu wino kuna zinazotumia wino expensive na za cheap hiyo HP nilipenda kwa kuwa inafanya karibu kila kitu yani printing, photocopy na scanning na wino wake niliambiwa unanunua kwa elfu 30 changamoto ni haitoi coloured.
Au kama kuna printer nzuri inayofanya kazi multi-purpose kama HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW na ni bora zaidi na affordable naombeni ushauri wenu niufanyie kazi
Karibuni!