Pic imekuja kwa wakati maalumWadau wote hapo juu wako sahihi..huyuy jamaa anasaidiwa mpaka misaada imezidi inamwagika kisa tuu yeye na mtoa msaada wote wanaonekana na jamii au media(kamera)....wakati wengine wenye shida kama yake wapo wengi lakini kwakuwa hawaonekani basi hawwajapata msaada hata mmoja.....nadhani hii picha imekuja baada ya sakata la wastara...nadhan lakini..