Habari zenu wana jukwaa.
Kuna jambo naomba wenye utaalamu wanipe muongozo kuhusiana na ufamasia.
Mimi najianda kuingia chuo kikuu Ankara(Turkey) kusomea pharmacy, awali halikua chaguo langu la kwanza kwenda kusomea chuo kikuu lakini majibu ya s.ship yalivyorudi nikajikuta nimechaguliwa huko na kwakuwa ni full s.ship ikabidi niende tu.
Kwa wale wataalamu wanaweza kuniambia pharmacy ipo ipo vip mambo gani muhim inabidi nianze kujipanga kabisa kuanzia sasa. Na vitu kama hivyo
Note:Nilisoma PCM