Nipe A to Z ya Process za ku export bidhaa au malighafi nje ya nchi

1.Invoice inayoonyesha thamani ya mzigo,aina ya mzigo na kiwango chake,uzito na idadi

2.Kibali toka Bodi Au mamlaka husika ya hiyo malighafi

3.chagua wakala wa forodha atakae kusimamia shughuli za forodha na uondoshaji wa mzigo,kwa njia ya maji,Anga Au Barabara

4.Wakala atawasiliaha vibali vyako kwenye mfumo wa forodha kisha utafuata taratibu zinazotakiwa
 
Mkuu shukran lakin nina maswali
 
Back
Top Bottom