MTV MBONGO JF-Expert Member Feb 18, 2016 1,261 1,222 May 2, 2016 #1 tangu aingie madarakani naona kama hana actions sana na ni kama haendani na kasi ya Rais wetu. ni kama vile anastuka mpaka akiambiwa afanye kitu fulani. sioni juhudi zake binafsi ktk kudhibiti uhalifu!
tangu aingie madarakani naona kama hana actions sana na ni kama haendani na kasi ya Rais wetu. ni kama vile anastuka mpaka akiambiwa afanye kitu fulani. sioni juhudi zake binafsi ktk kudhibiti uhalifu!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 May 2, 2016 #2 IGP yuko safi sana, na si mtu wa media kama aliyemtangulia. Tatizo tulizoea wazee wa media ndio maana tusipomuona kwenye media tunaanza kujiuliza, but jamaa ni mtu wa field zaidi...
IGP yuko safi sana, na si mtu wa media kama aliyemtangulia. Tatizo tulizoea wazee wa media ndio maana tusipomuona kwenye media tunaanza kujiuliza, but jamaa ni mtu wa field zaidi...
HORSE POWER JF-Expert Member Feb 22, 2015 2,212 1,552 May 2, 2016 #3 Sio yeye tu,hata waliomtangulia nao ni hivyo hivyo.
gnassingbe JF-Expert Member Jun 14, 2015 4,826 3,574 May 2, 2016 #4 Asiondolewe infosisitimu vezavi lugumi ndo ang'olewe tena kibabe.
kwamtoro JF-Expert Member Nov 15, 2010 4,922 3,236 May 2, 2016 #5 hapo inchi ingekaa vizuri kama angepewa u igp huyu aliyepelekwa zimamoto. thobias andengenye
Jindal Singh JF-Expert Member Sep 9, 2015 1,857 1,538 May 2, 2016 #6 Jamani nimemmisi Sheikh. Suleiman Kova, ivi yupo nchini huyu mtu?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 42,008 73,290 May 2, 2016 #8 Moisemusajiografii said: Click to expand... Eti mkuu umemkumbuka sheikh?
Valencia_UPV JF-Expert Member Mar 31, 2016 6,679 8,423 May 2, 2016 #9 IGP yupo kikaz zaid. Anafukuza mwizi kimya kimya amefanya jeshi kuwa ki-TRA kidogo kwa makusanyo ya faini. Hongera sana.
IGP yupo kikaz zaid. Anafukuza mwizi kimya kimya amefanya jeshi kuwa ki-TRA kidogo kwa makusanyo ya faini. Hongera sana.
whitehorse JF-Expert Member Aug 29, 2009 2,565 4,432 May 2, 2016 #10 Moisemusajiografii said: Eti mkuu umemkumbuka sheikh? Click to expand... Hata me Nimem miss Sana tu